Bei Poa kwa kulinda Usalama wa Vyombo vya Moto

A NETWORKING EVENT FOR YOUNG ENTREPRENEURS ARUSHA

Are you a young entrepreneur in Arusha? Do you wish to grow your net worth?
Njoo Tubonge 😎 they say your network is your net-worth, come grow it. TUBONGE#9
Come network with other young entrepreneurs to share experiences and learn from each other 😃
Njoo tujifunze kutoka kwa vijana wenzetu😃
Time: 5:00 pm, 19th July Location: Obuntu Hub, 6th Floor, Mega Complex (next to Stendi Kubwa), Bondeni Street
Bei Poa kwa kulinda Usalama wa Vyombo vya Moto

Free Advice To Entrepreneurs From Jack.

This is what Jack says. What should you do at a certain Age?

At the Age of 25- 29 Make more mistake.
At the Age of 30- 39 Work for yourself.
At the Age of  40-49- Focus on things your Good at.
At the Age of 50- above- Invest to the Young generation.

Bei Poa kwa kulinda Usalama wa Vyombo vya Moto

MTANZANIA ATENGENEZA GARAGE INAYOTEMBEA

Adam Zakaria Kinyekire: Mtanzania aliyetengeneza helikopta aunda gereji la kuhama hama linalohudumu hadi Zambia.

 

Adam ndiye mtanzania aliyetengeneza helkopta kupitia gereji yake ya ufundi. Adam anasemema kuwa mara baada ya kumaliza shule ya msingi alianza kujifunza kutengeneza magari katika karakana ya kawaida.
Adam Alijifunza kazi hiyo mwenyewe bila kuhudhuria chuo chochote, lakini ni maarufu kwa kuunda helikopta na pia amewafurahisha madereva kwa gereji lake la kuhama hama. Kwa sasa anafanya kazi na vijana takribani 40 na wengine zaidi na 50 walipitia katika mikono yake kupata mafunzo

Adam anasema yeye ni mbunifu ambaye hakupata ujuzi wowote kutoka shuleni maana mara baada ya kumaliza shule ya msingi, alianza kujifunza kutengeneza magari katika karakana ya kawaida na baadaye akaanza kuunda vitu kama vile mashine ya kusagia nafaka, gari la karakana na hata helikopta.
Hii ni nukuu ya Adamu akielezea siri yake kubwa , “Ubunifu wa kutengeneza vitu mbalimbali huwa sifundishwi na mtu ni kitu tu ambacho kipo kwenye damu, ni kama vile ndoto tu ambapo vitu vinakuja kwenye akili kwamba naweza kutengeneza hiki na hiki lakini sijawahi kupata mafunzo popote,” Adam Zakaria anaeleza.
Kwa kusoma habari kamili.
Chanzo cha Habari./ Soucrce of news. https://www.bbc.com/swahili/habari-46265121
AFYA YA MTOTO NA SWEET LISHE.UNGA BORA WA WATOTO UNAPATIKANA SASA ARUSHA

AFYA YA MTOTO NA SWEET LISHE.UNGA BORA WA WATOTO UNAPATIKANA SASA ARUSHA

Habari njema kwa wakazi wa Arusha.  Mjasiliamali Sweet Lishe anayetengeneza Unga wa watoto ulio na mchanganyiko wa virutubisho mbalimbali kama (Ulezi,Ngano,Ufuta,Mbegu za Maboga na Mahindi ya njano) sasa unga huu unapatikana Arusha. Tuma oda yako sasa ilikupata unga huu mzuri kwa afya ya watoto. 

Bei ya Unga ni Tsh 8000/= @ 1 KG.

Kwa mawasiliano zaidi: 0688 616 146.
Email: info@code-africa.com.
Bei Poa kwa kulinda Usalama wa Vyombo vya Moto

DO YOU KNOW THE WORD “THANKS” WHAT MEANS???


This morning as I was heading to Office I saw Children heading to school. Immediately I reflected those days when I used to dislike school especially when my mother used to force me to go to school.
I then realized how much my mother loved me and she wanted me to have a bright feature.
I have a suggestion to you who is reading this article this moment. I want you to take your phone call your mother and tell her, “Mom thanks for all your hardworking to make sure I was going to school every day and today I am the way I am because of your effort. I love you mom”.
Please leave a comments below this article as we appreciate our mothers for their hardworking to our feature.
Thanks